Viongozi wa mataifa 20 tajiri duniani G20 waanza mazungumzo yao kwenye kisiwa cha Bali, Indonesia.

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa mambo ya nchi za nje walianza mazungumzo ya mataifa tajiri G20 wakitoa wito wa kusitishwa mara moja uvamizi wa Ukraine