Utendaji zaidi wahimizwa katika kukabiliana na ongezeko la joto na mabadiliko ya hali ya hewa duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Watalaam wa hali ya hewa na majanga kutoka nchi za Kenya na Tanzania wahimiza kuwe na vitendo zaidi na wanasiasa kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani.