Kampuni ya Usiku Games yazindua mchezo wa kompyuta wa elimu ya uraia ili kuwasaidia wapiga kura nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya wanapokaribia kupiga kura agosti 9 mwaka huu , kampuni ya Usiku Games imezindua mchezo wa kompyuta wa elimu ya uraia ili kuwasaidia wapiga kura nchini humo kufanya maamuzi sahihi kuhusu viongozi watakaowachagua katika uchaguzi mkuu ujao.