Tanzania: Uchunguzi wabaini ugonjwa ulioua watu 3 mkoani Lindi

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Afya wa Tanzania Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya ugonjwa usiojulikana ulioibuka wilayani Ruangwa mkoani Lindi hivi karibuni na kuzua taharuki nchini humo, ugonjwa wenye dalili za homa inayoambatana na kutoka damu.