Mazungumzo ya kina kwenye Live Talk kuhusu kukuza lugha ya Kiswahili ulimwenguni.

Your browser doesn’t support HTML5

Ulimwengu Alhamisi umeadhimisha siku ya kimataifa ya Lugha ya Kiswahili, baada ya lugha hiyo kutambuliwa na UNESCO mwaka wa 2021. Wageni pamoja na wasikilizaji wanazungumzia kwa kina ukuzaji wa lugha hiyo ambayo sasa imekumbatiwa kwenye mataifa mengi ulimwenguni.