Mashirika ya kiraia Kenya yamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya IEBC kuzuia matumizi ya sajili iliyochapishwa ya wapigakura

Your browser doesn’t support HTML5

Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya na mashirika mengine sita ya kiraia yanaeleza uamuzi wa IEBC unatishia kuwafungia nje wapigakura wengi waliohitimu zoezi hilo iwapo mitambo ya kielektroniki ya kutambua wapigakura itashindwa kufanya kazi siku ya uchaguzi Agosti 9