KWA UNDANI: Waasi wa DRC kukabiliwa na jeshi la jumuiya ya Afrika mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya Afrika mashariki kupeleka jeshi DRC kupambana na makundi ya waasi. Tunaangazia pia mateso wanayopitia wakimbizi wa DRC wakati dunia inaadhimisha siku ya wakimbizi.