Dunia yaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika 2022

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi wa mtandao wa East Afrika Child Network anasema mtandao ambao unashughulikia haki za watoto katika nchi za Afrika mashariki na kati anaeleza mtoto wa Afrika ana changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na usalama wake, elimu na anahitaji kulindwa.