Mvutano kati ya DRC na Rwanda waendelea huku waasi wa M23 wakishutumiwa kutekeleza mauaji

Your browser doesn’t support HTML5

Katika Livetalk tunajadili hali ya usalama mashariki mwa DRC ambapo msemaji wa kundi la waasi la M23 anakanusha kwamba wamekuwa wakitekeleza mashambulizi dhidi ya raia.