Bunge la Kenya laahirishwa hadi uchaguzi mkuu ufanyike

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la 12 la kitaifa la Kenya, ambalo linatajwa na wachambuzi kama lililokuwa na vituko chungu nzima, Alhamisi liliahirisha vikao vyake kwelekea kwa uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.