Wanaharakati waitaka serikali ya Tanzania kuuharakisha mchakato wa Bima kwa Wote

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake na watoto wa Tanzania wanaema kwamba bima ya afya kwa wote itwasaidia sana wafanya kazi wa sekta ya bodaboda na wafanyabiashara ndogondogo.