Mfalme Philippe wa Ubelgiji anasema nchi yake imesababisha maumivu, udhalilishaji na ubaguzi wa rangi kwa Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Katika hotuba yake nje ya bunge la Congo Philippe alielezea majuto ambayo aliyaelezea kwa mara ya kwanza miaka miwili iliyopita juu ya utawala wa kikatili wa kikoloni wa Ubelgiji enzi ambayo wanahistoria wanasema ilishuhudia mamilioni ya watu wakipoteza maisha yao