Rais wa Malawi aamuru makamu wake afanyiwe uchunguzi kuhusu kashfa ya ufisadi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameamuru makamu wake na maafisa wengine wa ngazi ya juu wafanyiwe uchunguzi kuhusu kashfa ya ufisadi inayohusiana na mfanyabiashara Muingereza mwenye asili ya Malawi.