Hisia mseto baada ya jeshi la Uganda kusema litaondoka Mashariki mwa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia kauli za mkuu wa jeshi la ardhini la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugamba kwamba wanajeshi walio katika nchi jirani ya DRC watarejea nyumbani ndani ya kipindi cha wiki mbili, hisia mseto zimeibuka.