Itikadi kali ya ubaguzi wa rangi ni sumu kwa Marekani, Biden anasema

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden Jumanne alitembelea mji wa Buffalo katika jimbo la New York, ambako alitoa heshima kwa watu 10 wengi wao Wamarekani weusi, waliouawa mwishoni mwa Jumaa katika shambulio lililotajwa kuwa la kibaguzi.