William Ruto amteua Rigathi Gachagua kama mgombea mwenza kwenye uchaguzi wa rais

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu rais wa Kenya William Ruto Jumapili alimteua Rigathi Gachagua kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi wa rais utakaofanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu. Gachagua ni kutoka kabila la Kikuyu.