Wataalamu wa mitandao wanaitaka Afrika kuongeza kasi katika kukabiliana na wahalifu

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara ni baadhi ya masoko ya mtandaoni yanayokuwa kwa kasi duniani jambo ambalo linazifanya kuvutia na kukabiliwa na uhalifu wa mtandaoni, wanasema wataalamu.