Maafisa wa Marekani wamemkamata mfungwa mtoro pamoja na afisa polisi aliyehusika

Your browser doesn’t support HTML5

Casey White yuko chini ya ulinzi alisema Rick Singleton, Sheriff wa kaunti ya Lauderdale katika jimbo la Alabama nchini Marekani. White alisaidiwa kutoroshwa na afisa polisi Vicky White na mamlaka wiki iliyopita ilitangaza taarifa kuhusu wawili hao