Kenya : wafanyakazi wa nyumbani Mashariki ya kati wapewa mafunzo kuhusu haki zao

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya kazi ya Kenya imeamua kutoa mafunzo kwa wafanyakazi hao baada ya ripoti za unyanyasaji, ubakaji na vipigo dhidi yao. Wafanyakazi 23 walifariki tangu mwezi Novemba mwaka jana, vifo vingi vikiwa vilitokea Saudi Arabia.