Harakati za kuwasaka wagombea wenza wa urais Kenya zashika kasi

Your browser doesn’t support HTML5

Makundi mbalimbali yameibuka Kenya kuwapigia debe watu - hususan wa jinsia ya kije -ambao wanasema wana uwezo mkubwa wa kuwa naibu rais na kuwataka wagombea urais kuwateua.