Bunge la Seneti nchini Kenya latarajiwa kupigia kura muswada wa uteuzi wa viti maalum

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Seneti nchini Kenya linatarajiwa kujadili na kupigia kura muswada unaolazimisha uteuzi wa viti maalum uwe wa watu waliozaliwa au kusajiliwa kuwa wapiga kura katika majimbo hayo badala ya kuchukuliwa na wanasiasa wasiozaliwa maeneo hayo.