Raila aambia Wakenya waishio Marekani atayapa kipau mbele masuala ya vijana na wanawake endapo atachaguliwa rais

Your browser doesn’t support HTML5

Mgombea Rais wa Kenya, Raila Odinga alikutana na Wakenya wanaoishi Marekani Jumapili na kuzungumzia sera zake kwa vijana na wanawake endapo atachaguliwa mwezi Agosti.