Habari za dunia na Kipindi cha Salamu na Muziki

Your browser doesn’t support HTML5

Kugunduliwa kwa miili ya raia katika miji ya Ukraine “kutaendelea kuchafua” sifa ya Rais wa Russia Vladimir Putin, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema wakati wa ziara yake mjini Kyiv.