Wabunge 18 wa Tanzania wapinga ripoti ya uchafuzi wa maji ya mto Mara.

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge hao waliochangia kuhusu ripoti hiyo wanasema itakuwa aibu ripoti hiyo ikiwekwa kwenye mtandao maalum wa serikali, kwa sababu haielezi ukweli wa mambo.