Vijana, wanawake na walemavu wakutana na changamoto katika uchaguzi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu mkuu wa chama cha United Green Movement Mombasa Kenya anaeleza changamoto za vijana na wanawake na walemavu katika uteuzi wa kugombea nadasi za uongozi katika vyama.