Mchakato wa BBI haukufuata kanuni za katiba, mahakama ya juu Kenya yaamua

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya juu nchini Kenya imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na serikali kuhusu marekebisho ya katiba maarufu kama BBI, ambao ndio uamuzi wa mwisho kuhusu mchakato huo.