William Ruto amjibu Rais Kenyatta kuhusu njama ya kumpindua madarakani

Your browser doesn’t support HTML5

Naibu Rais wa Kenya William Ruto amepuuzia madai kuwa alibuni njama ya kimakusudi kumpindua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta huku pia akiwataka wakenya kuimarisha umoja wao