Yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa dharura wa G7 mjini Brussels, Ubelgiji

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Alhamisi alihutubia muungano wa NATO na kuomba msaada zaidi wa kijeshi ili aweze kupambana vilivyo na wanajeshi wa Russia, huku viongozi wa muungano huo wa kijeshi, akiwemo kiongozi wa Marekani Joe Biden, wakikutana mjini Brussels, Ubelgiji.