Historia yawekwa kwenye makala ya 94 ya Oscars

Your browser doesn’t support HTML5

Tunaangalia kwa undani hali ilivyokuwa kwenye ukumbi wa Dolby Theater mjini Los Angeles, wakati wa makala ya 94 ya tuzo za Oscars za mwaka wa 2022, ambapo rekodi kadhaa zilivunjwa.