Rais Biden atangaza kuongeza vituo vya kupima COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden aeleza mipango ya kupanua vituo vya kupima virusi vya corona kote nchini hatua iliyopokelewa kwa mtizamo tofauti tofauti.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari