Zulia Jekundu Ep. 341 :Mchakato wa kutafuta mrembo wa Future Face Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Mchakato wa kutafuta mrembo wa mwaka huu wa Future Face Afrika wakati mashindano yameanza kwa njia ya mtandao yakiongozwa na kampuni moja ya urembo ya Nigeria. Kampuni hiyo Agence France Presse inatufahamisha zaidi kuhusu kutafuta mrembo atakayekuwa uso wa Afrika mwaka huu.