Zulia Jekundu Ep 337: VOA wafanya mahojiano na mchezaji wa NBA wa zamani Dikembe Mutombo

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Zulia Jekundu: Mchezaji wa siku nyingi wa NBA Dikembe Mutombo ni mmoja wa wawekezaji wakubwa wa NBA Africa iliyopewa jukumu la kusimamia mpira wa vikapu barani Afrika.