Zulia Jekundu Ep. 334 : Habari za hivi punde kutoka kwa NBA Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Ligi ya Basketball Afrika ambayo ilisubiriwa kwa hamu kubwa, msimu wa kwanza umeanza na unaendelea huko Kigali. Ni wakati wa kihistoria katika ulimwengu wa michezo ukiadhimisha enzi mpya katika basketball, ukipata kila aina ya mtizamo na mashabiki wengi wapya huko Afrika.