Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania afanya ziara Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amefanya mazungumzo na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta mjini Nairobi na kujadili masuala kadhaa ikiwemo biashara baina ya mataifa hayo mawili.