Producer wa muziki wa Kenya anapeleka kazi yake kijijini

Your browser doesn’t support HTML5

Producer wa muziki wa Kenya anapeleka kazi yake kijijini kabisa kurekodi wasanii wanaokuja ili kuwapa kipaji na kutoa kitu kipya na tofauti kwa tasnia ya muziki Kenya.