Afrika inamkumbuka mwanamziki Christian Logomba

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamziki mashuhuri mwenye asili ya Kenya Christian Logomba aliyeaga dunia wiki moja iliyopita mjini Los Angeles hapa Marekani amezikwa leo mjini humo ambapo alikuwa akiishi na familia yake.