Idadi ya wanao jitokeza Zimbabwe kupatiwa chanjo hairidhishi
Your browser doesn’t support HTML5
Hadi Alhamisi watu 36,000 Zimbabwe wakiwemo madaktari na wauguzi wamepatiwa chanjo dhidi ya COVID-19 lakini bado kuna baadhi ya wafanyakazi wa afya wana wasiwasi na chanjo hiyo.