Kennedy Center ujiandaa kwa siku kuu za mwisho ya mwaka

Your browser doesn’t support HTML5

Ukumbi wa maonyesho ya sanaa wa Kennedy unajiandaa kuanza tena shughuli japo kwa umakini mkubwa ili kuepukana na maambuziki ya Covid-19.