Kampuni ya Sahel Sounds hutumia whatsapp kurekodi muziki

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya kurekodi nyimbo ya SAHEL SOUNDS ambayo inakuza muziki kutoka kwenye mataifa ya Sahel kila mwezi huwa inaweka EP kwenye mitandao ambapo wanamuziki hurekodi na kisha kutuma kupita simu zao kwenye studio ya kampuni hii mjini Portland, Oregon hapa Marekani kwa kutumia mtandao wa WhatsApp.