Rais mteule wa Marekani Joe Biden atangaza sera zake za kijeshi alipokua anamtaja waziri mteule wa ulinzi, Jenerali Lloyd Austin, akiwa Mmarekani wa kwanza mweusi kushikilia nyadhifa hiyo.
Abiy Ahmed atembelea Lamu na Uhuru Kenyatta
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed akamilisha ziara yake Kenya baada ya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.