Angelique Kidjo ashiriki kwenye tamasha la kimitandao la kutetea haki za kijamii

Your browser doesn’t support HTML5

Wanamuziki mashuhuri akiwemo Angelique Kidjo ni miongoni mwa wanaoshirikikwenye tamasha la kimitandao la kutetea haki za kijamii na ambalo litachangisha fedha wakati wa maadhimisho ya 75 tangu kubuniwa kwa Umoja wa Mataifa.