Ma designer wa Sudan wameandaa maonyesho kadhaa ya fasheni ya jinsia zote

Your browser doesn’t support HTML5

Show hizo zilizofanyikia kwenye mji mkuu wa Khartoum hivi karibubi zilihusisha wanamitindo wa kike pamoja na wa kiume wakitembea kwenye jukwaa moja kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miongo mitatu ambayo taifa hilo lilitawaliwa na Bashir.