Wasifu wa mgombea urais wa Marekani kupitia tiketi ya demokrat, Joe Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu rais wa zamani Marekani, Joe Biden, mdemocrat anawania urais dhidi ya Rais Donald Trump katika uchaguzi wa November 3, akiwania kuingia White House. Sasa je wasifu wake ni upi?Mkamiti Kibayasi anaripoti kamili.