Rihanna amerejea tena na video mpya ya Savage X Fenty Show Vol 2

Your browser doesn’t support HTML5

Rihanna amerejea tena na video mpya ya Amazon Prime iliopewa jina Savage X Fenty Show Vol 2. Show hiyo ya musimu wa fall mwaka huu imeanza Oktob. Kwenye show hiyo, wanamitindo wa kila aina na tabaka wanaonyesha mavazi ya ndani ya wanawake kwa bei nafuu.