Membe kujaza kugombea urais Jumatatu iwapo Kamati Kuu ya CCM itamjibu

Your browser doesn’t support HTML5

Tamko la Kamati Kuu ni juu ya uanachama wake na uhuru wake wa kuingia katika kinyang'anyiro ili asiwekewe vikwazo katika hatua za kuchukua fomu.