Aghathon Rwasa, kiongozi wa upinzani Burundi azungumzia uchaguzi wa 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa upinzani wa Burundi Agathon Rwasa anasema kuna njama za kuhujumu matokeo ya uchaguzi wa 2020, na watatumia kila nja ya kisheria kuhakikisha haki inatendeka.