Uchaguzi wa Burundi unatazamiwa kuleta mabadiliko ya uchumi na uwongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Karbu warundi milioni 5.1 waloandikishwa kupiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi muhimu wa rais siku ya jumatano ambao utafikisha ukingo miaka 15 ya utawala wa rais Pierre Nkurunziza.