Rais Magufuli aiweka Tanzania katika hali ya hatari zaidi: Zitto Kabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe anasema rais anaiweka nchi katika hali ya hatari kutokana na namna anavyokabiliana na janga la Covid-19, na amerudhisha nyuma sana nchi katika mapambano hayo.
Akizungumzia hotuba aliyotowa rais John Magufuli siku ya Jumapili tarehe 3 Mei 2002, Kabwe anasema mbali na kupambana na atari za ugonjwa wa COVID-19, wanapambano kuhusiana na uwongozi.