Wacomoro walokwama nchi za nje kurudishwa nyumbani karibuni: Souef

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya chi za nie wa Comoros El Amine Souf anasema miopango imetayarishwa kuwarudisha wacokoro walokwama Tanzania, Dubai na kwengineko baada ya mipaka kufungwa kwa jailli ya kulipuka ugonjwa wa Covid-19