IMF yatahadharisha kushuka kwa ukuaji wa uchumi duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, amesema shirika haliwezi kutabiri ni kwa kiwango na muda gani uchumi utashuka duniani.